Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally akiwa Bukombe mkoani Geita leo Jumamosi amesema anahitaji kukutana na mwanachama wa chama hicho, Bernard Membe ofisini kwake pasina kuwapo kwa masharti yoyote
HII NI BLOG KWA AJILI YA KUPASHANA HABARI MBALIMBALI ZA KISIASA, MICHEZO NA BURUDANI, HABARI ZINAZO JITOKEZA KATIKA JAMII ZETU.